Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipodozi Vitakavyoharibu Mwili Wako.

Usipotumia vipodozi vizuri unaweza ukapata madhara mengi na makubwa. Machache kati ya hayo ni kansa ya ngozi, maini, ubongo, mapafu na mfumo wa damu; ngozi kuungua, ngozi kuwasha sana, upofu, upotevu wa fahamu wa mara kwa mara, uziwi, kuumwa kichwa, kizunguzungu, fangasi na magonjwa mengine kwenye ngozi, aleji (mzio) ya ngozi, kuchubuka kwa ngozi, mabaka mabaka, chunusi kubwa kubwa, ngozi kuwa nyembemba sana na laini kiasi cha kidonda kuchelewa au kushindwa kupona endapo utapata jeraha au kufanyiwa operesheni na mengineyo mengi.
 
Vipodozi vitakavyokuharibu ni vile ambavyo:

i. Haviendani na ngozi au mwili wako Kwa mfano mtu mwenye uso au ngozi ya mafuta akitumia kipodozi kwa ajili ya ngozi kavu basi inaweza kumletea chunusi nyingi na matatizo mengine. Usitumie kipodozi chochote ambacho sio kwa ajili ya aina ya ngozi au mwili wako
 
Matumizi yake hayaendani na mahitaji yakoNi vyema kuvielewa vizuri vipodozi au kupata ushauri wa vipodozi vya kutumia kulingana na matatizo au mahitaji yako. Usitumie vipodozi ambavyo haviendani na tatizo au hitaji lako, maana utakosa matokeo unayoyahitaji, utapoteza pesa, muda na vinaweza kukuletea matatizo mengine ambayo haukuwa nayo.
 
Screenshot_2020-11-07 Instagram(6).png
 
Back
Top Bottom