Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi Shiro. Kwema huko?Brathee habari ya uzima?
Nakwambia Kiarabu ni tatizo. Nilibwaga manyanga asubuhi na mapema [emoji16][emoji16][emoji16]Mkataba [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakwambia Kiarabu ni tatizo. Nilibwaga manyanga asubuhi na mapema [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] dah Numby, umeamua unipe makavu live...hili la kiutu uzima zaidi [emoji28]Yaan ningeeee ndo nini kuongeleshana kiingereza muda wote eti Franklin Saint
π€£π€£πππππππraha sana