Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
😍😍
Basi bana siku moja nikaamka fulu kiherehere eti nataka kujifunza Kiarabu. Mweh!Maktub [emoji120]
Mkataba [emoji16]Basi bana siku moja nikaamka fulu kiherehere eti nataka kujifunza Kiarabu. Mweh!
Unaambiwa mizizi ya nomino ni konsonanti tupu mf ktb. Sasa ni juu yako kucheza na irabu tu kuleta maana inayotakiwa...na kivuli hafifu cha michezo hiyo migumu tunaiona katika Kiswahili.
Kitabu
Katiba
Katibu
Maktaba
Mkutubi
Nilinyosha mikono na kwenda zangu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni nini sasa,[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ahsante, nakusalimu pia.Jamani nawasabahi ndugu👋
Aisee
Salama kabisa....Jamani nawasabahi ndugu👋