Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-11-08 Instagram(4).png
 
Daemusin yule binti wa father ll take care na age of youth ni huyo huyo ndani ya do you like brahm. Nimeangaliita goole
numbisa unataka bakora kutoka kwa mwalimu wa somo la hallyu star?
utapata carry
nakumbuka hukuitaja father ill take care of you bali ulitaja father is strange ndio maana nikapingana na wewe (nikakuwekea picha ya wale mabinti mapacha ambapo mmoja wao alishirikia father is strange na age of youth).
binti uliyemkusudia wewe ni park eun bin ndiye aliyeigiza do you like brahms, age of youth na father ill take care of you
 
😂😂😂😂😂😂Basi ilikua typing error.ila brahm mbovu nimepoteza tu mb zangu
numbisa unataka bakora kutoka kwa mwalimu wa somo la hallyu star?
utapata carry
nakumbuka hukuitaja father ill take care of you bali ulitaja father is strange ndio maana nikapingana na wewe (nikakuwekea picha ya wale mabinti mapacha ambapo mmoja wao alishirikia father is strange na age of youth).
binti uliyemkusudia wewe ni park eun bin ndiye aliyeigiza do you like brahms, age of youth na father ill take care of you
 
😂😂😂😂😂😂😂jamani.Jana nimemaliza episode zote 16 kwa style ya kupeleka mbele ilipofika mwisho fasta nikaifuta
hata zile struggles za kimaisha na mahusiano za vijana wawili hadi wanne hazijakushughulisha.......
Numbi Numbi Numbi nimekuita mara 3
 
Back
Top Bottom