Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
kweliiAsilimia kubwa wa waTz wako vijijini....
Dah na QNET na AIM GlobalWazee wa GNLD hawa na Forever Living.
Ukikua utayakuta haya mambo. We sasa kazana na mavitabu ya falsafa huko na Thiolojia. Kuwa GT inakubidi ujisomee sana [emoji16][emoji16][emoji16]Ukiamuaga kuturusha roho [emoji849][emoji849]
Just don't die. You will get there...eventually [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee nawaonea wivu..natamani sana nifike level hiyo daah
Daah kwakweli I'm done, nimeidhurumu sana haki yangu ya kuishi kwa kisingizio cha kulinda "Value" zangu. I want to do every crazy thing.. ubatili tu
kitabu fikirishi hiki
Kama mimi tu, ila niongezee na zaburiKitabu changu pendwa namba moja hiki kikifuatiwa na methali.. saluti
Nimegundua ndo mana nikafuta comment yangu ChiefI mean ubatili mkuu sio ubahili..
Yaani nilijifanya kusimamia values zangu kumbe yote ni ubatili tu.
👏👏uko vizuri mtumishiMimi kinafuata Luka..then zaburi kisha ezekiel na isaya
🥂🍾Haina shida kiongozi..bless🥂