Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1605074847086.jpeg
 
Tom McCarthy sipendi tabia yako ya kufuta comments

Tumechat pamoja uzi wa tamu za numbie,umepata ulichotaka ukafuta comments dharau ilioje ,kuchoreshana tu soon ntakutupia ignore list. Boring mfyuuuu zako

Davinc
Hii sio mara yake ya kwanza kufanya hivi,sehemu kibao naona akifuta comment zake baada ya kuwa ameshachat
 
Hii sio mara yake ya kwanza kufanya hivi,sehemu kibao naona akifuta comment zake baada ya kuwa ameshachat
Leo kanichoresha vibaya uzi wa tamu za numbie sijapenda(imebidi nianze kufuta baadhi ya comments kule) Na juzi niliona kamfanyia hivyo the happiness halafu wa kwanza kujiita introvert sio kwa tabia hii ya kujiendekeza.
 
 
Back
Top Bottom