Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Umefurahi sana eeeh!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutoka wapi bro? [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan hawa ndugu zetu wanabalaa sana
Oh boy!Jinsi Ya Kupika Konokono Kama Chakula
Habari! Twende moja kwa moja kama mada husika. Napenda sana kupika mapishi mbalimbali kulingana na mazingira niliyopo na nini nahitaji. Sasa wapishi wenzanu wenye uzoefu na pishi la kumpika Konokono kwa chakula tusaidieni kupeana uzoefu. Pia kama ni aina zote za Konokono unaweza kumfanya...www.jamiiforums.com
Unataka kujaribu... hapa nlipo wapo wakutoshaJinsi Ya Kupika Konokono Kama Chakula
Habari! Twende moja kwa moja kama mada husika. Napenda sana kupika mapishi mbalimbali kulingana na mazingira niliyopo na nini nahitaji. Sasa wapishi wenzanu wenye uzoefu na pishi la kumpika Konokono kwa chakula tusaidieni kupeana uzoefu. Pia kama ni aina zote za Konokono unaweza kumfanya...www.jamiiforums.com
ππππππππOh boy!
Mawazo yaliyokuja kichwani mpaka nimeogopa...
Need therapy wallahi