Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee
 
400084500119_150179.jpg
 
Mtandao wa Telegram umetangaza kutoa zawadi kwa mdukuzi ambae ataweza kuingilia mawasiliano ya watu wawili na kuelewa ujumbe unaotumwa baina yao ndani ya mtandao huo, kwa ataefanikiwa atapewa zawadi ya takribani Tsh milioni 700.
 
Chatu Jike' jamii ya Anaconda" huwa na kawaida ya kuwala madume mara tu baada ya kujamiiana, Sababu mojawapo hutajwa ni kwaajili ya kuupa mwili nguvu ya awali kwaajili ya urutubishaji utaoanza kufanyika.
 
Marekani: Joe Biden amevunja na kuweka rekodi pia ya kuwa mgombea Urais aliyepata kura nyingi zaidi katika historia ya nchi hiyo katika kinyang'anyiro cha Urais. Hapo awali rekodi hiyo iliwekwa na Barack Obama kwenye uchaguzi mwaka 2008.
 
Kuna Jeni (Gene) ambayo inaweza kusababisha kuwa na mawazo hasi muda wote.Gene' ni kemikali zinazopatikana ndani ya seli ambazo hubeba taarifa kuhusu sifa za kimaumbile zinazorithishwa kutoka kwa wazazi.Chanzo: Science Daily
 
Back
Top Bottom