Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
mbona makahaba wanaendelea kutumia nywele bandia haliyakuwa wanapenda kufanya tendo la ndoa mara kwa mara"Tendo la ndoa" humfanya mwanamke kuonekana mrembo zaidi, Kiwango cha Estrogen huongezeka ambapo hupelekea nywele pamoja na ngozi kuwa nyororo maradufu.
Nawe pia..Nawatakia jpili njema
DuhTafiti: Utumiaji mkubwa wa nyama unaweza kupelekea mwili wako kuwa tofauti na umri wako mfano Kuzeeka mapema au Unene kupindukia.