myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe usiku mwema
Mambo, mzimaUstaadh
Vipi shughuli za siasa zimepita salama huko?Ustaadh
NimekumissMambo, mzima
Tunamshukuru Mungu..zilienda vizuri kabisa.Vipi shughuli za siasa zimepita salama huko?
Jirani shikamooMungu atupe usiku mwema
Mi pia, nimekutafuta sana nikakukosa.Nimekumiss
Nimesharudi MoudMi pia, nimekutafuta sana nikakukosa.
Nilikuja mpaka selfika.
Lakini wapi
Baada ya Me Too movement siku hizi kuna protokali kali kuhusu hizi scenes; na kuna washauri mpaka wa kisaikolojia. Unaisoma script na unasaini mambo ambayo uko tayari kuyafanya. Kama ni denda ni ya juu juu tu au jamaa atakula na mate kabisa? Kama ni nude scene, sehemu zipi unataka zionekane? Na ukiona hauko comfortable unasema anatafutwa mtu mwingine chap...kazi lazima iendelee....Unawezaje kucheza muvi ya hivi, mama, baba wadogo na ndugu yako wakiona ujisikiaje.?? Yaani haya mawazo kila nikiona kuvi yenye sex scene lazima nijiulize. Mwisho najiambia kila mtu na life lake. Kwangu naweza kuona soo kumbe kwao poa tu
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]