Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa alinitesa sana,kuna siku nililala saa tatu.Shimba,uniq, ho chi minh mara BigBaba naye anashambulia,sikuaga siku ile,kichwa akatangaza ndoa na wake watatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na vipete vyake vya visoda
Sikubile uliyopewa talaka na nsamaka?kichwa akatumia fursa hiyo kumvesha pete nsamaka??[emoji23] [emoji23] [emoji23]ile siku ilikua nzuri sana maaana
 
Back
Top Bottom