Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

EnAPn97W8AI-rNe.jpg



Chama kiliweke kikomo cha kushusha thamani fedha ya Tz lakini Serikali ikaendelea kukubaliana na matakwa ya IMF ya kuishusha thamani fedha ya Tanzania



March 1986, USD 1= 17 Tsh

Sept 1986 USD 1=40 Tsh

1987 USD 1=90 Tsh

1988, USD 1=120 Tsh

1989 USD 1= 145 Tsh

1990 USD 1= 193 Tsh



Kamati kuu ya chama chini ya Mwalimu iliendelea kuiambia Serikali iache kufanya mazungumzo na kukubaliana baadhi ya mambo kwa siri na IMF Kwani ni shirika linalotetea maslahi ya kipebari ambalo haliwezi kuwa mkombozi wa matatizo yetu ya kiuchumi.




EnAQ_htWEAA7mtX.jpg
 
Back
Top Bottom