D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wastahafu kaeni pembeni, hili zoezi nitalisimamia mwenyewe.Kama miye ni Kabudi namchana hapo hapo laivu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndo hivyo. Safari ya kuelekea kaburini inaendelea [emoji51][emoji51][emoji51]Jioni inaaga
Wakulima poleni sana...
Kabudi huyuhuyu aliyedai ameokotwa kwenye shimo la uchafu anaweza kupata uthubutu wa aina hiyo!!?Kama miye ni Kabudi namchana hapo hapo laivu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hope mimi mmoja wao! G. evening Mrembo.
Yes wewe ni mmoja wao.....how are you handsome?Hope mimi mmoja wao! G. evening Mrembo.
Mimi Amani yangu uwepo wako hapa .. na kwa hivo ni mzima wa afya hofu yangu juu kwako.Yes wewe ni mmoja wao.....how are you handsome?