nyiramba girl
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 778
- 4,167
uje tuitionTofauti ya bao na goli Ni ipi?
Hahaahaaa mtoto wa kigweno yule hafai[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa kama nnavyoombea mechi ya kirafiki kati yako na uniq maana mna maneno nyie hadi raha kuwa shabiki tu nawacheekii
[emoji52][emoji19]uje tuition
Sikubile uliyopewa talaka na nsamaka?kichwa akatumia fursa hiyo kumvesha pete nsamaka??[emoji23] [emoji23] [emoji23]ile siku ilikua nzuri sana maaanaKichwa alinitesa sana,kuna siku nililala saa tatu.Shimba,uniq, ho chi minh mara BigBaba naye anashambulia,sikuaga siku ile,kichwa akatangaza ndoa na wake watatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na vipete vyake vya visoda
HiLucky us..
na pesa bila ya kipara?Kipara bila pesa ni kovu
Hakuna vita nzur humu kama ya uniq na ho chi minhHahaahaaa mtoto wa kigweno yule hafai[emoji23] [emoji23] [emoji23]