Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa mujibu wa tafiti, Wanaume wengi wapo tayari kumchagua mwanamke (Kuwa mwenza wake) ambae hana akili sana (Less Intelligent) na kumuacha ambae anaonesha kuwa na akili zaidi.
msaada wa picha ya hivyo vitu tafadhariMlo wa Viazi na Siagi unakupa virutubisho vyote muhimu vinavyohitajika na mwili, Hivyo ina maana kama utakula viazi na siagi tu katika maisha yako hautapata tatizo lolote linalotokana na kushindwa kupata mlo kamili.
Aisee 😆😆😆Kicheko husaidia kupunguza kitambi na unene uliopindukia na zaidi hupunguza na kuondoa kabisa stress.
Nini hiki?
Aisee 😆😆😆
[emoji51][emoji51][emoji23][emoji23]Picha ya siagi na kiazi