andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Huyu jamaa mjinga kweli yaani...Shwaini kabisa.
Jumatatu ijayo tunamfuata ofisini kwake, tutamsuta hadi ajinyonge
Huyu jamaa mjinga kweli yaani...Shwaini kabisa.
Anko[emoji2][emoji2][emoji2]Anko kwenye jezi mpya [emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu ni mwema ndugu yangu,vipi familia huko?
Tatizo mwandiko unalaza sana, haubadiliki [emoji3][emoji3][emoji3]Anko[emoji2][emoji2][emoji2]
Anko umeshitukia mapema tu
Huku salama anko,familia iko poa kabsa.. Tumshukuru Muumba kama familia hapo nyumban haijambo anko[emoji120]
Huyu jamaa mjinga kweli yaani...Shwaini kabisa.
Jumatatu ijayo tunamfuata ofisini kwake, tutamsuta hadi ajinyonge
Ankoo, ukicheka unatukosea wala maparachichi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mani site atakuwa kafanya yake huko... Sijui Mani yuu kamfunga ngapi mtu huko?!!!Napita... Numbisa, sitaki maswali. The Happiness, kama hivyo tu yaani!. [emoji16][emoji2089][emoji2089]
Napita... Numbisa, sitaki maswali. The Happiness, kama hivyo tu yaani!. 😁🏃♂️🏃♂️
Kafungwa na spurs,man u bado mudaMani site atakuwa kafanya yake huko... Sijui Mani yuu kamfunga ngapi mtu huko?!!!
Ahsante Anko, ngoja niagize nyingine nisubirie "mechi" yenyewe sasaKafungwa na spurs,man u bado muda
Yego nini lakini Mwenyewe nimejificha zangu hukoo, wasahau!😂Napita... Numbisa, sitaki maswali. The Happiness, kama hivyo tu yaani!. 😁🏃♂️🏃♂️
Anko kwenye jezi mpya [emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu ni mwema ndugu yangu,vipi familia huko?
Anko[emoji2][emoji2][emoji2]
Anko umeshitukia mapema tu
Huku salama anko,familia iko poa kabsa.. Tumshukuru Muumba kama familia hapo nyumban haijambo anko[emoji120]
Mimi bado nimo gizani. Ni nani huyu ankoo wako asiyebadili mlalo wa mwandiko?Tatizo mwandiko unalaza sana, haubadiliki [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuzidi kumshukuru Mungu [emoji120]
Karibu sana Anko