Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anko kwenye jezi mpya [emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu ni mwema ndugu yangu,vipi familia huko?
Anko[emoji2][emoji2][emoji2]
Anko umeshitukia mapema tu

Huku salama anko,familia iko poa kabsa.. Tumshukuru Muumba kama familia hapo nyumban haijambo anko[emoji120]
Tatizo mwandiko unalaza sana, haubadiliki [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuzidi kumshukuru Mungu [emoji120]
Karibu sana Anko
Mimi bado nimo gizani. Ni nani huyu ankoo wako asiyebadili mlalo wa mwandiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…