Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anko wangu kutoka kanda ya kati... Tajiri fulani wa madini na mtani mkubwa wa Wasukuma.Mimi bado nimo gizani. Ni nani huyu ankoo wako asiyebadili mlalo wa mwandiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
babu nakusalimia, wambaje? wabesa au wabesuliwa? jaajee mkuu? shikamoo babu...chei chei babu...zote wazikumbuka za visiwani?..Anko wangu kutoka kanda ya kati... Tajiri fulani wa madini na mtani mkubwa wa Wasukuma.
Ni kijana wako wa karibu zaidi kuliko hata binti mpole au Davet na Bradha japo sio capitalpool wala Mkokaa ingawa Taavid sijui yuko wapi, achana na Daemusin,mwandiko wake upo Kikorea zaidi.
Sasa tunafikaje huko Taiwan?
TupoooooAnko wangu kutoka kanda ya kati... Tajiri fulani wa madini na mtani mkubwa wa Wasukuma.
Ni kijana wako wa karibu zaidi kuliko hata binti mpole au Davet na Bradha japo sio capitalpool wala Mkokaa ingawa Taavid sijui yuko wapi, achana na Daemusin,mwandiko wake upo Kikorea zaidi.
Hiyo ni juu yako mimi nimeshare fursa 😂😂Sasa tunafikaje huko Taiwan?
Basi tufanye yetu, twenzetu Zanzibar sikukuu hii! How abt that?Hiyo ni juu yako mimi nimeshare fursa 😂😂
Safii
vipi umetumwa na mabeberu wanaotoa msaada wa server kwa uongozi wa JF?Saa 10:00pm nitaongoza kikao cha dharura kumujadili myoyambendi juu ya kutujazia sever kwenye thread hii.