moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nimelala saa 4 usiku na nimeamka muda huu, liverpool ameshinda magoli 3...nimeambiwa liver wana kundi la majeruhi na bado wamemfunga leicester. Kama vipi wapewe tena ubingwa
🙏🙏Tumshukuru Mola wetu kwa kutujaalia siku nyingine
🙏🙏🙏Asalaam Alyeikum