moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwema dadake.Majukumu tu kaka ake
Kwema lakini?
Pole na majukumu
Kwema dadake.Majukumu tu kaka ake
Kwema lakini?
Kwani Maalim anaingia kwenye Serikali hiyo kwa mapenzi ya CCM na Mwinyi au kutimiza takwa la Katiba ya Zanzibar?Ni mjadala mzito sana...lolote litakalokuja mbeleni mshindi atakuwa ni CCM kwa sababu kuingia madarakani kwa maalim ni kuhalalisha uchaguzi uliofanyika, ni kuyavunja nguvu madai ya uvunjifu wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi na kwenye hizo kesi za ICC zinazozungumzwa tegemeo kubwa la ushah idi wa uvunjifu wa haki za binadamu unapatikana zenji na si tanganyika(sielewi walalamikaji na wambeya wa upande wa bara watapata wapi uhalali au nguvu ya kumshitaki bosi anayekulisha), ina maana uwepo wa maalim utafaidisha serikali zote mbili kwenye ulimwengu wa diplomasia na ndilo wanaloliiitaji CCM ndio maana wakamuingiza kwenye serikali...CCM wanamuhitaji maalim kwenye eneo hilo tu na CV ya yule mzee unaweza kuombea mkopo kwa mchaga, miaka mitano ya kwanza ya sheni serikali zote zilineemeka mpaka wauza karafuu walifaidika mno...,,huo ni upande mmoja(nipo na kimeo muda huu) mengine nitayajadili nikiwa na PC
bahati mbaya mnywa urojo sijawahi kusoma katiba ya znz iliofanyiwa marekebisho. neno takwa tafsiri yake ni ulazima kushiriki hata kama hukubaliani na mchakato. kwangu sidhani kama ni takwa la akikatiba bali ni uamuzi wa chama husika. ACT wanahitaji kujijenga kisiasa na moja kati ya imani kubwa wanayojipa ni kwamba kuingia kwao kwenye serikali kutawapa nafasi ya kufanya siasa eneo lolote lile hata kama ni huko bara kunako zuio la kufanya siasa baada ya uchaguzi wakitolea mfano wa CUF ile ya mwaka 2015 na hiyo ndio hoja ya kwanza inayogubika kwenye hizi ziara. Kwa mujibu wa redio vifua umbeya zimenukuu maalim wiki iliopita kwenye mkutano fulani akisema chama chao kimepeleka masharti fulani yanayopaswa kufanyiwa kazi na wenye dola ndipo waingie kwenye serikali na kwa kauli hiyo neno takwa linakosa nguvu. Redio vifua zinadai baadhi ya masharti hayo ni kuchukuliwa hatua za kinidhamu wahusika wakuu wa uvunjifu wa haki za raia(hili sijui kama linawezekana kwa mfumo wa katiba yetu, hapa tunamzungumzia jeshi mkuu mtoa amri na wanawe), wahanga wote walipwe fidia na serikali, kila mzanzibar awe na haki ya kupata kitambulisho cha znz na redio vifua nyengine zinadai viongozi wa imani ile..... Je wajua licha ya kwamba marehemu alishiriki michakato yote ya kitatiba kuanzia ule wa 85, licha ya kuwa waziri wa sheria na licha ya kuwa mwanasheria mkuu wa zanzibar lakini mpaka anakufa hakuwa na kitambulisho cha mzanzibar, kwa tafsiri ya haraka uzanzibar wake haujulikani. Namzungumzia ABUBAKAR KHAMIS BAKAR gwiji wa sheria aliyehitajika zaidi muda huu na ACTKwani Maalim anaingia kwenye Serikali hiyo kwa mapenzi ya CCM na Mwinyi au kutimiza takwa la Katiba ya Zanzibar?
Wengine huomba lift makusudi ili waombwe namba za simu na wengi wao ni wale wasio na nywele a.k.a wazee wa kuficha vikomo na vichogo....haloo mimi ndio yule aliyenipa lift kwenye baiskeli, baby nahitaji pesa ya wigi la rihanna wolper mtafuta mimbaa