Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu dogo akikua na huu moyo sijui itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16]

2.4473798679338875E18.jpg
 
Nini ushauri wako kwa Maalum na ACT kuhusu jambo hilo?
Ni mjadala mzito sana...lolote litakalokuja mbeleni mshindi atakuwa ni CCM kwa sababu kuingia madarakani kwa maalim ni kuhalalisha uchaguzi uliofanyika, ni kuyavunja nguvu madai ya uvunjifu wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi na kwenye hizo kesi za ICC zinazozungumzwa tegemeo kubwa la ushah idi wa uvunjifu wa haki za binadamu unapatikana zenji na si tanganyika(sielewi walalamikaji na wambeya wa upande wa bara watapata wapi uhalali au nguvu ya kumshitaki bosi anayekulisha), ina maana uwepo wa maalim utafaidisha serikali zote mbili kwenye ulimwengu wa diplomasia na ndilo wanaloliiitaji CCM ndio maana wakamuingiza kwenye serikali...CCM wanamuhitaji maalim kwenye eneo hilo tu na CV ya yule mzee unaweza kuombea mkopo kwa mchaga, miaka mitano ya kwanza ya sheni serikali zote zilineemeka mpaka wauza karafuu walifaidika mno...,,huo ni upande mmoja(nipo na kimeo muda huu) mengine nitayajadili nikiwa na PC
 
Back
Top Bottom