Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

unnamed%20(42).jpg
 
Anko wangu kutoka kanda ya kati... Tajiri fulani wa madini na mtani mkubwa wa Wasukuma.
Ni kijana wako wa karibu zaidi kuliko hata binti mpole au Davet na Bradha japo sio capitalpool wala Mkokaa ingawa Taavid sijui yuko wapi, achana na Daemusin,mwandiko wake upo Kikorea zaidi.
Aaaah! Kumbe kipenzi chake na Shiro? Tajiri wa Nyarugusu? Asante kwa ufafanuzi.

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Hana utani wo wote na Wasukuma bali alikuwa anafuata mkumbo tu. Mkurugenzi wa TRM alipoamua kuwapenda Wasukuma ghafla hata yeye akaamua kubadilika...
 
Hii habari ni ya kweli? Maalim na wenzake wamekubali rasmi kuingia kwenye tafrija ya ulaji wa keki ya taifa?
View attachment 1632368
hahahahaaa..hao mabwana wawili ili wapate nafasi hizo italazimika wateuliwa na raisi nafasi ya uwakilishi...ni poster lililobeba uvumi...ngoma bado ngumu kwa sababu wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kila sehemu anayopita maalim kukusanya mawazo juu ya swala hilo la GNU
 
Nini ushauri wako kwa Maalim na ACT kuhusu jambo hilo?
 
Back
Top Bottom