myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aina zote mbili zinawaza maisha binafsi kwa kutumia ngazi ya ujinga wa watu maskini ambao wanawaza kuwa maisha yao yanaweza kubadilishwa na mtu mwingine.The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman think about the next generation.
Maneno kuntu anko. Kuna kipindi niligusia hili suala jukwaa la siasa nikalazimishwa kuamini siasa ni kila kitu hata usiposhabikia inakugusaAina zote mbili zinawaza maisha binafsi kwa kutumia ngazi ya ujinga wa watu maskini ambao wanawaza kuwa maisha yao yanaweza kubadilishwa na mtu mwingine.
Siasa ni maisha (ajira) ila Maisha sio siasa, kuna haja ya sisi malimbukeni wa kusubiria maisha mazuri ya majukwaani kutoka kwa wanasiasa kushituka na kuwasusia siasa zao tuendelee na maisha yetu.
Enzi za utawala wa kichifu hakukuwa na siasa wala demokrasia, maisha yalienda vizuri tu.
Wanasiasa wote Shwaini zao...
Tuishie hapa Anko, wale ndugu zetu watusamehe bure maana na sisi ni binadamu tuna nyongo...Maneno kuntu anko. Kuna kipindi niligusia hili suala jukwaa la siasa nikalazimishwa kuamini siasa ni kila kitu hata usiposhabikia inakugusa
Vijana wamebweteka na kubaki kulalamika ajira hazitolewi sawa ajira hazitolewi basi wageukie upande wa pili napo bado wanakwambia siasa zimewabana. Maisha haya
Huku kwema Kaka angu. Naomba hiki kwenye maktaba yako 😀😀View attachment 1633987
SawasawaAina zote mbili zinawaza maisha binafsi kwa kutumia ngazi ya ujinga wa watu maskini ambao wanawaza kuwa maisha yao yanaweza kubadilishwa na mtu mwingine.
Siasa ni maisha (ajira) ila Maisha sio siasa, kuna haja ya sisi malimbukeni wa kusubiria maisha mazuri ya majukwaani kutoka kwa wanasiasa kushituka na kuwasusia siasa zao tuendelee na maisha yetu.
Enzi za utawala wa kichifu hakukuwa na siasa wala demokrasia, maisha yalienda vizuri tu.
Wanasiasa wote Shwaini zao...