Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman think about the next generation.
Aina zote mbili zinawaza maisha binafsi kwa kutumia ngazi ya ujinga wa watu maskini ambao wanawaza kuwa maisha yao yanaweza kubadilishwa na mtu mwingine.
Siasa ni maisha (ajira) ila Maisha sio siasa, kuna haja ya sisi malimbukeni wa kusubiria maisha mazuri ya majukwaani kutoka kwa wanasiasa kushituka na kuwasusia siasa zao tuendelee na maisha yetu.
Enzi za utawala wa kichifu hakukuwa na siasa wala demokrasia, maisha yalienda vizuri tu.

Wanasiasa wote Shwaini zao...
 
Maneno kuntu anko. Kuna kipindi niligusia hili suala jukwaa la siasa nikalazimishwa kuamini siasa ni kila kitu hata usiposhabikia inakugusa

Vijana wamebweteka na kubaki kulalamika ajira hazitolewi sawa ajira hazitolewi basi wageukie upande wa pili napo bado wanakwambia siasa zimewabana. Maisha haya
 
Tuishie hapa Anko, wale ndugu zetu watusamehe bure maana na sisi ni binadamu tuna nyongo...
 
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…