Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Manchester United imetoa ofa mpya kwa mchezaji Timothy Fosu-Mensah,22, wa Uholanzi anayeweza kucheza nafasi kadhaa ambaye mkataba wake unamalizika msimu ujao. (Manchester Evening News)
Mbona chama hakina msimamo [emoji1787] au wanagawana posho za hao special seats.
Ni wewe mwenyewe au ni shemeji yetu? Yote kwa yote HBD. Miaka mingine mingi yenye afya njema, amani na ridhiko ikakujie kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Happy birthday[emoji322]View attachment 1636159
Happy B.Day!!Happy birthday[emoji322]View attachment 1636159
[emoji119][emoji119][emoji120]Happy B.Day!!
Kwanini umefikiria kuhusu shemeji[emoji16][emoji16]ni mimi mwenyewe mkuu!!! Thanks sana[emoji120]Ni wewe mwenyewe au ni shemeji yetu? Yote kwa yote HBD. Miaka mingine mingi yenye afya njema, amani na ridhiko ikakujie kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwani najua basi? Ni akili yangu tu hii isiyo na akili mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Kwanini umefikiria kuhusu shemeji[emoji16][emoji16]ni mimi mwenyewe mkuu!!! Thanks sana[emoji120]
[emoji16][emoji16][emoji16]nakuelewa mzee wangKwani najua basi? Ni akili yangu tu hii isiyo na akili mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]