myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🤣🤣🤣Spika mzima unashindwa kusimamia kanuni na taratibu kwa kisingizio cha mfumo dume.
Hata viti maalum lazima taratibu za kisheria zizingatiwe.
Kila mtu ana umuhimu wake
Amani itawale jioni yetu
Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Jioni Imeshika kasi
Mungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
Pipooooziii [emoji350][emoji350][emoji350]
Dada zetu sijui walipatwa na nini so pain kuwafukuza uanachamaPipooooziii [emoji350][emoji350][emoji350]
View attachment 1637684
Pesa sabuni ya rohoDada zetu sijui walipatwa na nini so pain kuwafukuza uanachama