mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hope wote mko Poa
Amun RaAmina
Pesa sio kila kituPesa sabuni ya roho
Heshima kubwa aliyojijengea Mdee CDM anaipoteza kwa siku moja usalitiPesa sabuni ya roho
Mkuu Habari za masiku teleSpika mzima unashindwa kusimamia kanuni na taratibu kwa kisingizio cha mfumo dume.
Hata viti maalum lazima taratibu za kisheria zizingatiwe.
Hahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1637355
Tuna spika wa ajabu haijapata kutokeaSpika mzima unashindwa kusimamia kanuni na taratibu kwa kisingizio cha mfumo dume.
Hata viti maalum lazima taratibu za kisheria zizingatiwe.
Amun RaMungu atupe siku njema
Yes sio kila kitu ila sio kwenye ulimwengu wa siasaPesa sio kila kitu
Amun RaAmani na upendo kwenu
Ukweli ni kwamba mpendwa hata ungekuwa wewe upewe ubunge wa bure ungekataa kumbuka siasa za Africa ni biasharaHeshima kubwa aliyojijengea Mdee CDM anaipoteza kwa siku moja usaliti
Tutakuwa na hashtag yetuNa akina baba muwe mnatukumbuka jamani !!!
View attachment 1637317
Mwenezi wa Chama ni mkubwa kuliko Waziri naona kushushwa cheoPolepole kaula. Wanasema pengine anataka kupewa Wizara ya Ulinzi....
View attachment 1637310
Mamboz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]