moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amin[emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
AminMungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Mtu kama Halima Mdee alikuwa mbunge kwa vipindi vitatu haku-make pesa mpaka ajiingize kwenye usaliti!!??Pesa sabuni ya roho
Shwari, Za kwakoHamjambo humu ndani
Maamuzi sahihi, yamekuja wakati sahihiUkisikia maamuzi magumu ndio haya
Cha kushangaza, zile taasisi zilizokuwa zinahangaika kuhakikisha wapinzani hawapati ushindi kwenye sanduku la kura ndizo ambazo leo zinapigana vikumbo ili upinzani upate viti maalum.Principles za chama zilibidi kufuatwa
Ilikuwa lazima iwe hivyoKulikuwa hakuna namna
Shwari, habari za DodomaMkuu Habari za masiku tele
Spika tuliyenaye ni kiojaTuna spika wa ajabu haijapata kutokea