Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatimaye mgombea urais Bob Win.nchini Uganda amepata mavazi rasmi ya kuzuia risasi akiwa kwenye kampeni zake.
Hii inafuatia matukio kadhaa ya kukoswa koswa na risasi za moto zinazoelekezwa kwake akiwa kwenye shughuli za kisiasaView attachment 1641125
Huyu jamaa ni mbishi wa karne. Hakubali kushindwa licha ya changamoto anazokumbana nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…