Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-12-04 (3) Home Twitter.png

šŸ˜€šŸ˜€
 
Shukurani ustaadh[emoji120]
Naja huko kitambo si kirefu ati...
Kunitaja babu babu lakini waijua shughuli yangu! Mwanakwerekwe ni mwezi ujao natia pale. Karibu sana Ankoo
Mwanakwerekwe eneo gani babu yangu wa JF.
hayo ndio maeneo yangu ya kujidai.

sokoni
ijitmai ya zamani
mwanakwerekwe upande wa makaburi ya waislamu
mwanakwerekwe upande wa makaburi ya wakristo
mwanakwerekwe ya meli nne

babu utakuwa wapi nije nirithi mali?
 
Mchezo wa masumbwi (Boxing) ni marufuku katika kisiwa cha Zanzibar, tangu kipindi cha mapinduzi hadi sasa.
karume alialikwa tamasha la michezo, alipofika uwanjani akawakuta wanaume wanatwangana ngumi....
mzee akawauliza hao wajinga wanapigana kwa sababu gani?

akajibiwa mshindi anapata pesa.
****manina zao,
hao wapuuzi wapeni majembe wakalime na kuanzia leo ngumi basi, haiwezekani wanaume wazima mupigane ovyo
teh teh teh
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mwanakwerekwe eneo gani babu yangu wa JF.
hayo ndio maeneo yangu ya kujidai.

sokoni
ijitmai ya zamani
mwanakwerekwe upande wa makaburi ya waislamu
mwanakwerekwe upande wa makaburi ya wakristo
mwanakwerekwe ya meli nne

babu utakuwa wapi nije nirithi mali?
Mwanakwerekwe hakuna jambo, habari ya mujini ni Mombasa Kwa mchina. au kitu Kwa raju
 
Back
Top Bottom