Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

500041100224_317041.jpg
 
Nimetia porojo nyingi katika kisa hicho ili kunogesha nogesha tu. Ndiyo alipewa bunduki lakini akashindwa. Kwenye interview anasema "I couldn't kill my Fidel. I love my Fidel" japo yupo 80+ sasa.

Fidel na Castro walikuwa ndiyo nguzo ya Ujamaa Amerika ya Kusini. Sema tu tatizo ni kama lililotukumba siye kwenye ujamaa wetu - rushwa, uzembe, unafiki na ubadhirifu japo pia ubabe wa Wamarekani nao uliwachachafya sana. Fidel, pamoja na kubanwa sana na Marekani kwa vikwazo vya kila aina miaka na miaka bado aliweza kujenga jamii yenye heshima heshima kidogo hasa upande wa elimu na mambo ya afya.

Chavez alimpenda na kumwamini sana Castro ndiyo maana ilibidi apate matibabu huko mpaka mauti yanamkuta kwa kansa ambayo inasemekana ina mkono wa Wamarekani sawa sawa na ile iliyomuua nabii wa Kirastafari kutoka Jamaica - Robert Nesta Marley...



View attachment 1640888
Sawasawa
 
That's my El Commandante..
Halafu alimpatia pisto kabisa akamwambia sumu itakawia kumuua chukua bunduki hii unipige. Demu aliposita sita ndio akafanywa chakula..
Napenda watu wa Latin America they're so Patriots. Ila bangi na madawa tu zinawaharibu..
Hugo Chavez hua ananiumaga kweli naona aliwahi kuondoka
View attachment 1640507
Young Hugo Chavez
View attachment 1640508
Si mchezo
 
Back
Top Bottom