Safi naomba nikumbushe nadhani umebadili I'dKwema mpendwa? Habari za masiku
Naona machalii wa Arachuga watakuwa wanafanya sherehe kabisa...BAADA YA BANGI KURUHUSIWA
View attachment 1640760
Huyu katubadilikia ukubwani; baada ya kuachana na Shiro wake. Wazazi tusijilaumu sana. We tried [emoji123][emoji123][emoji123][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Lengo ni kuwakwepa watoto wenzio kimaongezi. Wewe tulikulea vibaya matokeo yake kila kichochoro cha dhambi unakijua[emoji2][emoji2][emoji2]
Habari njema hii... Tatzo jf wana opt ya kulike mara moja [emoji28][emoji28][emoji28]Naona machalii wa Arachuga watakuwa wanafanya sherehe kabisa...
View attachment 1640876
NigendakoSafi naomba nikumbushe nadhani umebadili I'd
Nimetia porojo nyingi katika kisa hicho ili kunogesha nogesha tu. Ndiyo alipewa bunduki lakini akashindwa. Kwenye interview anasema "I couldn't kill my Fidel. I love my Fidel" japo yupo 80+ sasa.That's my El Commandante..
Halafu alimpatia pisto kabisa akamwambia sumu itakawia kumuua chukua bunduki hii unipige. Demu aliposita sita ndio akafanywa chakula..
Napenda watu wa Latin America they're so Patriots. Ila bangi na madawa tu zinawaharibu..
Hugo Chavez hua ananiumaga kweli naona aliwahi kuondoka
View attachment 1640507
Young Hugo Chavez
View attachment 1640508
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee!!
Haya ndio maandiko sasa, ni robo ukurasa lakini andiko limejaa nyama.
Ahsante shemeji kwa elimu,hakika umenipa darasa jinsi ya kupigana vita vya kiuchumi kwa kutumia siraha tofauti tofauti.
Tangu zamani nilitamani sana kusoma Cuba,nikashindwa,bado natamani mtoto wangu asome huko, ukiniuliza sababu za kuipenda Cuba hata mimi mwenyewe sizijui.
Shemeji upo hapa kwa ajili yetu,usituchoke tafadhali.
Mojawapo ya ushauri bora kabisa kuwahi kutolewa [emoji16][emoji16][emoji16]Umri unakuruhusu Anko, mlimane kadiri muwezavyo,ukichoka mwachie mshika jembe atifue,wee hangaika kuyafuta "vumbi majani" ....maisha ni haya haya Anko [emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee za kujifichaNigendako
Kumbe bado hawajavuliwa uwanachama