Hakika ndg yangu [emoji2]Sis Wasukuma hapa ni kukaa kimya tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika ndg yangu [emoji2]Sis Wasukuma hapa ni kukaa kimya tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bsgeshi [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Hakika ndg yangu [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vita ya kiuchumiiAisee!!
Haya ndio maandiko sasa, ni robo ukurasa lakini andiko limejaa nyama.
Ahsante shemeji kwa elimu,hakika umenipa darasa jinsi ya kupigana vita vya kiuchumi kwa kutumia siraha tofauti tofauti.
Tangu zamani nilitamani sana kusoma Cuba,nikashindwa,bado natamani mtoto wangu asome huko, ukiniuliza sababu za kuipenda Cuba hata mimi mwenyewe sizijui.
Shemeji upo hapa kwa ajili yetu,usituchoke tafadhali.