Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Jamaa alikuwa anapendwa sana na wanawake. Kuna mlimbwende wake mmoja CIA walifanikiwa kumgeuza mole wao wakaja wakampa vidonge vya sumu akamuue Fidel. Anasema alipofika tu akaenda bafuni kujiandaa akamuacha Fidel kajilaza kitandani tena yuko njwii balaa. Akatoa vidonge vyake akaviandaa vizuri akatafuta glasi ya maji akaandaa kila kitu. Hii ilikuwa ni sumu kali sana kiasi kuwa kitone kidogo tu kwenye ulimi mtu unaondoka. Huyu mlimbwende aliondoka na glasi yake ya maji kumpelekea Fidel. Alipoingia chumbani akamkuta Fidel kakaa katika ukingo wa kitanda halafu kwa sauti ya kilevi Fidel akasema

"Umetoka Marekani leo hii hii na umekuja kuniona. Wamekupa sumu uje uniue? Hujawahi kunipa maji kwa namna hii? Tabia hii umeanza lini?"

Kusikia hivyo mlimwende akapaniki na kumwaga ile sumu. Kabla hajajua kinachoendelea Fidel akamdaka na kumwinamisha hapo hapo. Binti anasimulia kuwa siku ile aliuchezea usiku kucha comrade kasimamia shooo. Baada ya gemu Fidel akamwambia yule binti. "Manuela nakupenda sana lakini kwa vile ulitaka kuniua sitaki kukuona tena maishani mwangu" Akaita walinzi na binti yule akatolewa mkuku.

Katika hoteli mojawapo hapo hapo Havana majasusi wa CIA walikuwa wakisikiliza operesheni ile laivu na wanasema ni mojawapo ya mpango wao wa kutaka kumuua Fidel uliokaribia kufanikiwa sana. Usiku huo huo Fidel akahama kwenda mafichoni kwa sababu alikuwa na kawaida ya kutolala sehemu moja mara mbili.

Huyu mama sasa ni mzee lakini mpaka leo anajuta kwa kurubuniwa na majasusi wa CIA na bila aibu anakiri kuwa ile shoo ya siku ile anaagwa na Fidel ndiyo shoo bora kabisa ambayo hatakaa aisahau na alijaribu kila mbinu ili arudiane na Fidel lakini jamaa alikuwa na kanuni kali sana na haikuwezekana. Majaribio zaidi ya 100 CIA wanahangaika kujaribu kumuua lakini ilishindikana mpaka El Commandante amekuja kufariki kutokana na uzee.

Kwa hiyo rekodi iliyowekwa na Binti Mpole kwa hakika alifaudu maisha yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee!!
Haya ndio maandiko sasa, ni robo ukurasa lakini andiko limejaa nyama.
Ahsante shemeji kwa elimu,hakika umenipa darasa jinsi ya kupigana vita vya kiuchumi kwa kutumia siraha tofauti tofauti.
Tangu zamani nilitamani sana kusoma Cuba,nikashindwa,bado natamani mtoto wangu asome huko, ukiniuliza sababu za kuipenda Cuba hata mimi mwenyewe sizijui.
Shemeji upo hapa kwa ajili yetu,usituchoke tafadhali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko katika ubora wake sio kwa hesabu hizo

Chei chei anko, u a missed.

Shikamooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo...

Marahaba mamaangu, kwema huko? Familia wazima? Kwa picha tu nimesha wazoea.
 
IMG_20201203_101226.jpg
 
Back
Top Bottom