Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanawake 35,000!!!! Kidume cha mbegu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Fidel Castro alitembea na wanawake tofauti 35,000 katika maisha yake.
Hii ni kwa mujibu wa baadhi ya wasaidizi wake wa karibu kipindi cha uhai wake.
Chanzo: MelMagazine, TheSun, TheIndependent, GQMagazine, Mirror, TimesOfIndia, TheTelegraph
Wakishua upo vizuriJioni iwe njema kwetu soteeeView attachment 1640203
Aisee..Wanawake 35,000!!!! Kidume cha mbegu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama alilala nao na akapiga kamoja kwa kondomu maana yake alitumia kondomu 35,000 ambazo ni sawa na paketi 11,667 za kondomu 3 ndani yake.
Kama alimwaga nusu kisoda shahawa yaani 2mls kwa kila goli maana yake alimwaga shahawa 70,000mls ambazo ni sawa na Lita 70 au ndoo 3 za lita 20 na moja ya lita 10 zikiwa zimejaa shahawa pomoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuuuni watafiti[emoji137][emoji137]
Hawa yuu Ankoo Wangu mzuri [emoji137][emoji137][emoji137]
Chei chei binti mpole wangu [emoji2][emoji2][emoji2]
Na pia maji tutaita mma[emoji16]Ila mjue kabisa kuwa mwaka ujao sio 2021 bali season 2 ya 2020....mjiandae
Lakini kuna siku niliona mzee wa liver alikuita PM alikuong'oneze kuhusu malkia, naona stori nzima iliishia hukohuko PMThe only and only one mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula izi mai homu japo kwa sasa nimehamia Dubai...
Walimwanzishia uzi humu kuwa eti kaRIP ukafutwa haraka haraka. Kama yungalipo basi siku moja atatuibukia tu. Tuombe kuwa yuko salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ila mjue kabisa kuwa mwaka ujao sio 2021 bali season 2 ya 2020....mjiandae
[emoji16][emoji16]Na pia maji tutaita mma[emoji16]
Sio mwaka wa raha 😂Na pia maji tutaita mma[emoji16]
Ankoo [emoji2][emoji2][emoji2]Aisee..
Ankoo[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]