BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
😄😄😄ila wenzetu wanajiamini, kwahyo akafungua kesi kuwa wanamharibia Diet plan yake...!Ila hii ina ukweli aisee. Mtu ukianza tu vimazoezi tayari McDonalds na KFC wanakuja na sales za kufa mtu. Mahambaga mawili makubwa ambayo huuzwa kwa dola 4 kila limoja yanaanza kuuzwa yote mawili kwa dola 3..Buy one get one free. Yaani kama huwa wanasubirisha ili kuhakikisha watu vitambi havipungui. Kuna jamaa alishawahi kuwashtaki mahakamani kuwa huu utopolo wa sales za kufa mtu kila akianza kula healthy na kufanya mazoezi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama kweli vile 😊😂[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1639321
Hahah haya bwanaMi ata najua basii, ilimradi simchangii kuipata hiyo Ps[emoji1]..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1639321
Ndio inavyokuaga lakini [emoji16]Kama kweli vile [emoji4][emoji23]