Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na December ndio hii, [emoji2356]View attachment 1639010
Ila hii ina ukweli aisee. Mtu ukianza tu vimazoezi tayari McDonalds na KFC wanakuja na sales za kufa mtu. Mahambaga mawili makubwa ambayo huuzwa kwa dola 4 kila limoja yanaanza kuuzwa yote mawili kwa dola 3..Buy one get one free. Yaani kama huwa wanasubirisha ili kuhakikisha watu vitambi havipungui. Kuna jamaa alishawahi kuwashtaki mahakamani kwa huu utopolo wa sales za kufa mtu kila akianza kula healthy na kufanya mazoezi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
400084500200_191238.jpg
 
Back
Top Bottom