D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Ukitaka kujua tabia ya mwanaume, Tazama vizuri anavyoishi na Watoto na Sio Watu wa rika lake.
Jobless wote mkipata kazi punguzeni nyodo na majivunoShout-out kwa ma-jobless!
Maana tunawaza sana mpk mabichwa yetu yanaongezeka upanaaa..!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hii ina ukweli aisee. Mtu ukianza tu vimazoezi tayari McDonalds na KFC wanakuja na sales za kufa mtu. Mahambaga mawili makubwa ambayo huuzwa kwa dola 4 kila limoja yanaanza kuuzwa yote mawili kwa dola 3..Buy one get one free. Yaani kama huwa wanasubirisha ili kuhakikisha watu vitambi havipungui. Kuna jamaa alishawahi kuwashtaki mahakamani kuwa huu utopolo wa sales za kufa mtu kila akianza kula healthy na kufanya mazoezi [emoji16][emoji16][emoji16]
Tunadunda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]View attachment 1639279
Noma mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]