Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Dinya tena? [emoji28][emoji28][emoji28]
Dinya tena? [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1431][emoji1431][emoji1431]Kama kawaida..
Poleni wote mliotoka kazini
[emoji1431][emoji1431][emoji1431]Kama kawaida..
Poleni mnaoendelea na kazi.
Wanajiuliza huyu kafa au kalalaBAADA YA BANGI KURUHUSIWA
View attachment 1640760
Hatari sana"Mwanamapindizi aliyeingia madarakani kwa mtutu wa bundukì hawezi kuondoka madarakani kwa kikaratasi cha kura":
Jenerali Museveni.
Afrika ni raha tu[emoji849][emoji849][emoji26][emoji26][emoji26]View attachment 1640727
[emoji2937]Kama kawaida..
Poleni wote mliotoka kazini
[emoji123]Kama kawaida..
Poleni mnaoendelea na kazi.
[emoji120]Kama kawaida..
Wasafiri Mungu awafikishe salama
Exallente el comrado
Hujakosea kabisa ilikua hivyo..
Kwakweli namuheshimu sana Nyerere kwa sera yake hii ya ujamaa japo haikuWoek Out. Nadhani JK alidhai kila mtu ni heaven sent kama yeye na anauchungu na nchi/watu wake kumbe haikua wivu. Uliyoyataja hapo yakatukwamisha.
Latin Americans/Fidel Catrol na Akina Mao Tsedong naona walifanikiwa kwasababu raia wake wana roho za uzalendo.....Moja ya atori niipendayo ni jinsi Ch guevera alivyopita mitaa na vijiji vya kigoma kwenda kukomboa wanadamu wasiojielewa kongo akitumia majina na pasi za bandia alizopewa na Nyerere
Fidel hua naona alikua mpango wa Mungu kabisa na hakutakiwa kuondoka duniani kwa hila yoyote ile bila kusudi lake kukamilisha. (He has Ultimate Purpose)
Wakati wa kifo cha Hugo chavez wacuba walimlilia kama mtu wa kwao maana waliampenda kutokana na kua na misimamo na maono kama ya Fidel. Chavez aliipenda nchi yake ndio maana wakati anakufa neno lake la mwisho alikua anasema hataki kufa. Coz bado alikua anaona Bado haijawa Venezuela ile aliyotamani iwe
Piga kichwa cha familia familia itatawanyika...wazungu wamemua Chavez Maduro akashika usukani ila wamemfanyia figisu hadi wakapandikiza kiharqka wao Juan Guiado
Ila wewe jamaa bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..umewaza mbali sanaDinya tena? [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji109]Kama kawaida..
Walezi wa familia tunawapa hongera,,
Duh! Legalize it broNaona machalii wa Arachuga watakuwa wanafanya sherehe kabisa...
View attachment 1640876
[emoji106]Kama kawaida..
Mlio sokoni na saluni na madukani kote poleni
[emoji122]Kama kawaida..
Uangalifu ni muhimu sana kwenye daladala na bajaji
[emoji870]Kama kawaida..
Pole kwa wasomi wote na waalimu wao
[emoji120][emoji120]Kama kawaida..
Poleni wagonjwa wote, Mungu awaponye [emoji120] [emoji120]
Good newsKumekucha
View attachment 1640917
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mpaka Kigogo aondoke Twitter ndiyo tutairudisha [emoji16][emoji16]jumuia ya wasukuma ndio wameendelea kushikilia uamuzi wa kutokuirudisha twitter?