Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AiseeJE WAJUA
Katika ulimwengu tunaoishi kuna:-
1: Sayari 8
2: Nchi 196
3: Bahari kubwa 5 ( Asili ya dunia ni bahari 4)
4: Bahari ndogo 50
5: Visiwa 18307 (Rekodi ya 2002)
6: Watu 7.8 bilioni (Rekodi ya 2020)
Aiseeya Olimpic ilichezwa mwaka 776 BC japo kuna historia zinaeleza tofauti.Baada ya Alexander kuzoea michezo hii huko Ugiriki akataka kuipeleka Mashariki ya kati pia kwa lengo la kuzifanya jamii mbili tofauti kuwa na tamaduni zinazofanana
Duh!!Alexander pia kabla hajafariki alijitawaza kuwa ndiye mungu wa Asia, Lord of Asia, ndiye mkubwa wa nchi za Asia na mashariki ya kati baada ya kushinda katika vita nyingi dhidi ya nchi za huko, usichokifahamu ni kuwa jamaa
Wengi tu...WANGAPI HAMJAPATA "LIKE" KUPITIA UZI HUU ?
Basi weka like sasa tufahamiane hapa !