Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunaendelea kukumbuka Diego Maradona
FB_IMG_1607039393627.jpg
 
Mwanakwerekwe eneo gani babu yangu wa JF.
hayo ndio maeneo yangu ya kujidai.

sokoni
ijitmai ya zamani
mwanakwerekwe upande wa makaburi ya waislamu
mwanakwerekwe upande wa makaburi ya wakristo
mwanakwerekwe ya meli nne


babu utakuwa wapi nije nirithi mali?
Ni wewe mkorea au mwingine?
Kama ni wewe ninayekujua punguza kubadirika kama kinyonga
 
karume alialikwa tamasha la michezo, alipofika uwanjani akawakuta wanaume wanatwangana ngumi....
mzee akawauliza hao wajinga wanapigana kwa sababu gani?

akajibiwa mshindi anapata pesa.
****manina zao,
hao wapuuzi wapeni majembe wakalime na kuanzia leo ngumi basi, haiwezekani wanaume wazima mupigane ovyo
teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

[El Chiringuito] Tusquets, president of Barcelona's management Board: "Players will not get their January salaries, the financial situation is terrible and worrying" "The Club Should've sold Messi"​

Aseee, himaya ya Katalunya inaelekea kuanguka.
Punde tuta miss kuona ile total football tuliyoizoea
 
Back
Top Bottom