moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huwezi kujisifia umefanikiwa wakati wazazi wako wanaishi kwenye dimbwi la ufakiri.Mafanikio yako hayana maana kama bado wazazi wako wanateseka.
Huwezi kujisifia umefanikiwa wakati wazazi wako wanaishi kwenye dimbwi la ufakiri.Mafanikio yako hayana maana kama bado wazazi wako wanateseka.
Ni kweli brotherHuwezi kujisifia umefanikiwa wakati wazazi wako wanaishi kwenye dimbwi la ufakiri.
MimbaWanawake mje hapaView attachment 1642346
Ngwajima huyu aiseeeBARAZA LA MAWAZIRI: Rais John Magufuli, amemteua Dk. Dorothy Gwajima kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Pia, amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
Sio jose gwajima bali mwanamama anaitwa gwajimaNgwajima huyu aiseee
Ooh nilijua ni mbunge wetu wa KaweSio jose gwajima bali mwanamama anaitwa gwajima
Aaah angevuruga yule😂😂😂😂Ooh nilijua ni mbunge wetu wa Kawe