moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kilanga kimefika mwisho..
Mtanyooka tu
.
Mtanyooka tu
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga wake wa kutunishiana misuli na bilionea kisha kanyimwa mkopo wa bodaboda tena wakati wa kampeni bila shaka kumemwathiri pia. Ila anasemaga ni tajiri sana na huwa anawaasa vijana kujiajiri. Naamini yuko vizuri japo bado anahitaji kukua na kuachana na mambo ya kitoto.
Kitu imetulia sana
Duh!!Refarii wa masumbwi akilowa damu kiasi hiki vipi hali za mabondia?View attachment 1642333