moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120]Morng
[emoji120][emoji120]Morng
Njema, za kwakoHabari za Jumapili wapendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gr8 MkuuNjema, za kwako
Hii ni vita nyingine kati Simba na mshambuliaje wake wa zamani Elias Maguri... Patamu hapo
Kwahiyo kumbe Maguri yupo kwenye hiyo timu!?Hii ni vita nyingine kati Simba na mshambuliaje wake wa zamani Elias Maguri... Patamu hapo
Yes, Maguri yupo Platinum, na hata kwenye game iliyopita wakiwa ugenini Maguri alifunga gori la ushindi..Kwahiyo kumbe Maguri yupo kwenye hiyo timu!?
Unadhani inaweza kuwa kama Yanga na Kamusoko?
AiseeVichwa vya habari vya magazeti ya lep jumapiliView attachment 1642912
Vibonge..Kila mtu na mtuweView attachment 1642950
👍👍This is Simba