Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"TUSIMUHUKUMU ALIYESHINDWA KUAPA NA KUWAZA USHIRIKINA"

Adhabu aliyopewa ni kubwa kuliko Dhamira yake.

MH Rais amsamehe kama alistahili na Akumbushwe....
"PHOBIA ATTACK".

Imegawanyika makundi 3...
I. Social phobia
II. Specific Phobia
III. Agoraphobia

I. Social phobia.
Huwakuta wengi, pale unapotakiwa kufanya Jambo Mbele ya Jamii, Hofu inapitiliza na kushindwa kufanya jambo au mabadiriko ya mwili, Pressure inapanda, una Sweat, na pumzi kukata. Huwezi kufanya lolote. (Hii imemkuta Mtenguliwa N/w madini), tumpe faraja isimuathiri kisaikolojia katika majukum ya Ubunge.

II. Specific Phobia
Hofu hupanda kutokana na Jambo ambalo hukutegemea Sehemu husika. Wanaume huwatokea yupo na Binti ambaye haamini angeweza kumpata na anashindwa kufanya lolote. (Normal blood circulation interrupted). Au Chumba cha mtihani, unashindwa kuandika/kujibu.

III. Agoraphobia
Humkuta yeyote ukiwa mazingira yasiyo salama unayohofia Maisha. Eg Utupwe porini unapohisi Kuna Wanyama wakali. Au upite njia inayohisiwa Kuna nyoka wakali

*"Dhana za Ushirikina zisitawale UHALISIA WA BINADAMU"*C&P
 
Limemkuta nani tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…