Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inaruhusiwa msahafu mtakatifu kuuchora chora hivi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu jamaa inaonyesha ni msomaji mzuri wa biblia, kwahiyo ameona vipande ambavyo vinamsuta.
Ameona heri abishane navyo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Huyu mwamba vipi? Alisahau miwani ya kusomea au shida nini?
View attachment 1645552
Huyu jamaa kwenye ubunge aliangushwa kwenye kura za maoni na mzoefu Murtaza Mangungu, lakini CC na NEC ya CCM wamempa karata.
Kwenye sanduku la kura amechuana na mbunge machachari aliyemaliza muda wake Selemani Bungara aka Bwege.
Mjini Kilwa leo habari zote ni yeye na hasa hasa ni namna alivyoruka viunzi kwenye njia zenye miba mpaka kupata ubunge.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…