Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msione raha kupapasa misambwanda, wenyewe wanapitia maumivu makali ili kuipataView attachment 1646107
Wengine mpaka matako yanaoza. Wengine wanapoteza maisha. Hiyo silicone ikiingia kwenye mfumo wa damu ni sumu hatari sana. Halafu hata mambo yakienda sawa tako lenyewe linakuwa gumu kama simenti hata ukilidabua halitingishiki kama ile natural ya wobble wobble jiggle jiggle. Hata akitembea hakuna ule mtimbwiliko na mmeng'enyuko wa asili kama huu.



Na hakuna anayejua huko mbele ya safari uzeeni kama haya masilicone yataendelea kubakia huko wakati muscles zimeshapoteza elasticity na ngozi kuchoka. Sad !!!
 
Ulivyo toa maelezo sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Halafu hiyo picha kama naikumbuka... Au nimemfananisha na yule jirani yako ambaye jamaa yake ulisema yupo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…