myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mnaoendelea na kazi
kazi ni kipimo cha utu...
kazi ni kipimo cha utu...
Ulivyo toa maelezo sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Halafu hiyo picha kama naikumbuka... Au nimemfananisha na yule jirani yako ambaye jamaa yake ulisema yupo....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yaani nilikuwa nimetegeshea. Ungeona hii comment halafu usiijibu ningehama JF mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
Picha ni yenyewe. Maelezo bila vielelezo ni kazi bure na kwa sisi waalimu vielelezo ni muhimu sana kwa sababu wanafunzi wengine ni visual learners na bila vielelezo hawataelewa.
By the way, kwema huko kwako? Kabula wangu na wapwa zangu wakoje?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani nilivyoiona hiyo picha inavyo lendemkwa akili ikajichanganya kabisa. Itabidi niongee na Esta anifanyie utafiti wa haya mambo.
Mungu ni mwema wote wanaendelea vizuri kabisa. Ni imani yangu Koromije umewasiliana nao muda si mrefu na wanaendelea vizuri, si ndiyo?
Mungu azidi kuwa nasi [emoji120]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16] Tafiti za Esta we acha tu. Kama ni hivyo basi ni vyema. Hata huku na Kolomije wote salama. Tumshukuru Mungu sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji120][emoji120][emoji120]Kilimo ndio uti wa mgongo.
Poleni wakulima wote..