moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kumbe nawe ni muhenga[emoji23][emoji23]Nakumbuka sometimes zilikuwa zinaharibika..ile moment ikiwa inaelekea kuharibika unaimba utumbo gani sijui[emoji23][emoji23]
Kuitoa hapo inakuwa imejiviringa kwenye redio.
Yaani hiyo moment nimeikumbuka.. unakuta Kanda inaimba kama imekabwa koo[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe nawe ni muhenga[emoji23][emoji23]
kwa sasa ana umri gani….
unazipeleka wapiNipe like 10