mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,018
- 3,009
maeneo gani ayo
Duh...hiyo rangi ndio yenyewe
iwe kwako piaJioni iwe njema
Asante sana muhenga mwenzanguYaani hiyo moment nimeikumbuka.. unakuta Kanda inaimba kama imekabwa koo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitoa hapo uzi wote umejiviriga,,tunaanza kutengeneza tunazungusha na pen.
Watoto wa mjini hivi vitu hawavijui[emoji23]
AminJioni iwe njema
Mh!! Ni muhenga kweli huyo??Asante sana muhenga mwenzangu
Wahenga wa kisasa.Mh!! No muhenga kweli huyo??